Breaking News

VIDEO:RAIS MAGUFULI AZIAGIZA TRA, TFDA, TBS NA TPA KUPIGA KAZI MASAA 24 KUANZIA JUMATATU YA KESHO.


Ili kukamilisha kazi ya kutoa mzigo bandarini kwa muda mfupi, mamlaka hizo zimeamriwa kufanya kazi masaa 24 kwa shift, kwa kuwa bandarini ni sehemu sensitive.

Waziri Mkuu amesema anataka kupata taarifa Jumatatu kuwa utekelezaji huo umefanyika,.

Amesema bandari ya Mombasa inatoa mzigo ndani ya siku 9 huku ya Dar ikichukua siku 14.