TAZAMA VIDEO SPORTPESA WAKISAINI MKATABA NA TIMU YA YANGA LEO HII
Katika Mkataba uliosainiwa leo, mwaka wa kwana Yanga watanufaika kwa kupata Tsh. milioni 950 ambapo ndani ya miaka mitano watapata zaidi ya Tsh. bilioni 5.
Aidha katika mkataba huo, Yanga watavaa jezi zenye nembo ya SportPesa.



