FURAHIA YALIYOJIRI LEO KATIKA BUNGE MJINI DODOMA MEI 10, 2017
9
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Upendo Pendeza kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Eng ,Gerson Lwenge akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.(PICHA NA
DAUDI MANONGI-MAELEZO)
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ipala ya Mkoani Dodoma wakiwa Bungeni kwa ajili ya kujifunza shughuli mbalimbali za Bunge katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017. (PICHA NA
DAUDI MANONGI-MAELEZO)
Mbunge wa Kawe Mhe.Halima Mdee akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017. (PICHA NA
DAUDI MANONGI-MAELEZO)
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kipindi cha maswali na majibu katika kikao cha ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017. (PICHA NA
DAUDI MANONGI-MAELEZO)
Kiongozi Mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai Mhe.Freeman Mbowe akiwa na Waziri kivuli wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Hamidu Bobali wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Greyson Lwenge katika kikao cha ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017. (PICHA NA
DAUDI MANONGI-MAELEZO)
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng,Stella Manyanya akijibu hoja Mbalimbali za Wabunge katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017. (PICHA NA DAUDI MANONGI-MAELEZO)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi, Hamad Masauni, bungeni mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Maji, Mhandisi Gerson Lwenge akwasilisha Makadiro ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2017/18, bungeni mjini Dodoma, Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akifurahia jambo na Naibu Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi, Hamad Masauni na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega bungeni mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, George Simbachawene kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aizungumza na wabunge, Kange Lugora wa Mwibara (kushoto) na Katani Ahmed Katani wa Tandahimba (katikati) kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10,2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Geita, Joseph Kasheku Musukuma (katikati) na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Mwanne Mchemba (kushoto) na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mtwara Vijijini Hawa Ghasia kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
![]() |
Mbunge wa Makambako (CCM) Mhe.Deo Sanga akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017. (PICHA NA
DAUDI MANONGI-MAELEZO)
|
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akiongoza kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017. (PICHA NA DAUDI MANONGI-MAELEZO)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar) Salum Mwalimu kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|




















