UPDATE: May 17: MTOTO Sadia na MTOTO Wilson wote walifanyiwa UPASUAJI waliopaswa Jana. Kila MTOTO amewekwa kwenye chumba chake peke yake, na MAMA mzazi na NURSE Moja wanakuwa naye wakati WOTE. MTOTO Sadia amefanyiwa UPASUAJI maeneo YAFUATAYO: 1) right thigh bone 2) right upper arm 3) both foams 4) shingo haikufanyiwa UPASUAJi ispokuwa amewekewa BRACE atakayo kaa nayo kwa WIKI 6 kuanzia SASA. MTOTO Wilson amefanyiwa UPASUAJI kwenye maeneo YAFUATAYO: 1) right thigh fixed with rod 2) right elbow fixed 3) left elbow fixed***+ Wote wanaendelea na mapumziko katika hospitali ya Mercy, Sioux City IA. Mungu ni mwema sana! (Pichani Mama yake Sadia akikumbatiwa na Moja wa wauguzi, huku wenzake wakimtazama) Photo Courtesy of #samaritaupurse A post shared by LazaroNyalandu (@lazaronyalandu) on May 16, 2017 at 9:27pm PDT