VIDEO: BAADA YA KUAPISHWA MBUNGE SALMA KIKWETE AANZA KWA KASI....AMTWANGA SWALI WAZIRI ANJELAH KAIRUKI...TAZAMA VIDEO HII.

Baada
ya kuapishwa, Mbunge Salma Kikwete ameuliza swali kwa mara ya kwanza na
kulielekeza OR-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Mkutano
wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo Dodoma.
Leo asubuhi kabla ya kuanza kwa kipindi cha maswali na majibu mbunge wa
kuteuliwa Mama Salma Kikwete aliapishwa


