Breaking News

VIDEO:TAZAMA KINACHOENDELEA CUF....MAALIM SEIF AMGOMEA LIPUMBA,ADAI YEYE NDIYO KATIBU MKUU HALALI WA CHAMA HICHO.


Jana  Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif alifanya mahojiano na kituo cha Television cha Azam two na kusema hamtambui mwenyekiti wa chama hicho Pro. Ibrahim Lipumba pamoja na uwamuzi aliochukuwa wakumuweka kando na nafasi yake kukaimiwa na Magdalena Sakaya.

Malim Seif alisema  hawezi kwenda ofisi za Buguruni kwa kuwa makao makuu ya chama hicho yapo Zanzibar na sio Dar es Salaam

==>Msikilize hapo chini akiongea