Hitmaker wa Aje, Alikiba alifanya show wikiendi hii mjini
Mombasa, Kenya ya kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2017. Show hiyo ilihudhuriwa na mashabiki lukuki wa mji huo na sehemu nyingine tofauti tofauti. Tazama picha zaidi hapa chini.
Picha: Hivi ndivyo Alikiba alivyofunga mwaka kwenye show yake ya Mombasa
Reviewed by Mipiko
on
12:19 AM
Rating: 5