Katika show hiyo, Kanye alidai kuwa Queen Bey alikubali kutumbuiza
kwenye tuzo mwaka jana za MTV Video Music Awards iwapo angeshinda tuzo
ya Video of the Year kwa wimbo wake Formation. Kanye naye alikuwa
akiwania tuzo hiyo.
West pia alimchana Jay Z kwa kutopokea simu zake baada ya mkewe
kuvamiwa Paris akisema, “Jay Z, call me, bruh. You still ain’t called
me. Jay Z, I know you got killers. Please don’t send them at my head.
Please call me. Talk to me like a man.”
Siku chache baadaye Yeezy alilazwa kwenye hospitali ya UCLA Medical Center kutokana na kuwa na uchovu mwingi.
Kanye West na Kim Kardashian wahudhuria birthday ya mtoto wa Jay Z na Beyonce, Blue Ivy
Reviewed by Mipiko
on
7:46 PM
Rating: 5