Leo October 4, 2016 Chama cha ACT
Wazalendo kimechukua headlines baada ya msanii Afande Sele ambaye ni
mwanachama wa chama hicho kupost maneno ya kudai kuwa amekua haelewi
matendo ya chama hicho.
Taarifa iliyotolewa na afisa habari wa ACT
Wazalendo Abdalah Hamis imesema chama hicho kimeona alichokiandika
Afande Sele na wamechukulia kama maoni ya mwanachama wa kawaida na
wanayeheshimu maoni hayo hata kama sio sahihi wanayapokea na hawawezi
kumchukulia hatua zozote kwasababu wamechukua ni kama maono yake.
>>>Yeye ametoa maoni
kama mwananchi wa kawaida hivyo hatuwezi kumjibu kama chama kwasababu
amelezea hisia zake na kama kutakua kuna ukweli tutafanyia kazi na kama
hakuna ukweli basi tutazipuuza taarifa hizo: Msemaji:-ACT Wazalendo
Walichokizungumza ACT Wazalendo kuhusu lawama za Afande Sele
Reviewed by Mipiko
on
7:27 AM
Rating: 5